• HABARI MPYA

    Thursday, April 23, 2015

    UEFA YAMUADHIBU GUARDIOLA KWA KUVAA FULANA YA MWANDISHI ALIYEUAWA BRAZIL

    UEFA imemfungulia mashitaka kocha Pep Guardiola kwa kuvaa fulana ya kudai haki ya mwandishi wa habari za michezo aliyeuawa katika Kombe la Dunia mwaka huu.
    Muargentina Jorge Lopez aliuawa katika ajali ya gari alipokuwa mjini Sao Paulo mwezi Julai na Guardiola alivalia fulana iliyoandikwa ‘#JusticiaParaTopo’ - wakati wa Mkutano na Wandishi wa Habari kabla ya mechi ya Ligi ya Mabingwa baina ya Bayern Munich na Porto. Ujumbe hyo unaunga mkono kampeni ya kuchunguza kifo cha Lopez.
    Guardiola wore the top demanding justice for Jorge 'El Topo' Lopez who died in a car crash at the World Cup
    Guardiola alivaa fulana ya kutetea haki ya Jorge 'El Topo' Lopez aliyefariki kwa ajali wakati wa Kombe la Dunia
    Jorge 'El Topo' Lopez was killed when a taxi he was travelling back to his hotel in was hit by a stolen car
    Jorge 'El Topo' Lopez aliuawa wakati teksi aliyokuwa amepanda ilikuwa inarejea hotelini kwake baada ya kufongwa na gazi iliyoibwa

    Lopez aliuwa wakati teksi aliyokuwa amepanda ilikuwa inarejea hoteli, baada ya kugongwa na gari iliyokubwa imeibwa, ambayo ilikuwa inakimbizwa na Polise.
    UEFA imesema kwamba kocha huyo Mspanyola amechukuliwa hatua za kinidhamu kwa sababu tukio hilo lisilo la kawaida mchezoni linaweza kuzusha taharuki.
    Kanuni ya bodi hiyo ya soka Ulaya inasema: "Ni uvunjwaji wa sheria kwa mtu yoyote kutumia matukio ya mchezo kwa mambo ambayo si ya kimichezo.’ 
    Kwa kuvaa fulana hiyo, Guardiola alijitetea: "Wiki iliyopita, familia ilinipa fulana na nimeamka leo nimeamka nikaivaa,".
    Lopez alikuwa mwandishi mkubwa Amerika Kusini na kifo chake kimewaumiza wengi.
    Mwaka jana, kocha wa Atletico Madrid na kiungo wa zamani wa Argentina, Diego Simeone alitweet kwamba Lopez hakuwa tu 'Mwandishi Mkubwa' bali pia alikuwa rafiki.Lionel Messi dedicated Argentina's World Cup semi-final win to the 38-year-old, who died in Sao Paolo

    Lionel Messi alimzawadia ushindi wa Argentina katika Nusu Fainali ya Kombe la Dunia mwandishi huyo aliyefariki akiwa ana umri wa miaka 38 mjiin Sao PaoloBarcelona and Atletico Madrid players line up in front of a #JusticiaParaTopo sign before a game in January
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UEFA YAMUADHIBU GUARDIOLA KWA KUVAA FULANA YA MWANDISHI ALIYEUAWA BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top