Vincent Kompany (kushoto) na Marouane Fellaini wakishngilia Uwanja wa King Baudouin, baada ya kufunga katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Cyprus mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2016 usiku wa jana. Mabao ya Ubelgiji yalifungwa na Marouane Fellaini mawili, Christian Benteke, Eden Hazard na Michy Batshuayi.
Eden Hazard akimtoka beki wa Cyprus, Marios Nikolaou
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3016312/Belgium-5-0-Cyprus-Marouane-Fellaini-double-Marc-Wilmots-secure-easy-Group-B-victory.html#ixzz3VkKzI4IC
0 comments:
Post a Comment