• HABARI MPYA

    Saturday, March 28, 2015

    MUDI MATUMLA ALIVYOMCHEZEA KAMA BEGI MCHINA JANA DIAMOND

    Bondia Mohammed Matumla (kushoto) akimsukumia konde mpinzani wake, Wang Xin Hua katika pambano la uzito wa Super Bantam jana ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Matumla alishinda kwa pointi.
    Matumla Jr akimuadhibu Mchina
    Mohammed Matumla alimzidi mpinzani wake jana
    Mohammed Matumla aliwapa faraja Watanzania jana
    Bondia Mchina jana alikutana na shughuli pevu ulingoni
    Mchina alipigwa aina zote za ngumi jana na Matumla, lakini alikuwa mbishi kukaa tu
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MUDI MATUMLA ALIVYOMCHEZEA KAMA BEGI MCHINA JANA DIAMOND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top