Kell Brook akimtazama mpinzani wake, Jo Jo Dan aliyekaa chini baada ya konde kali ukumbi wa Motorpoint Arena mjini Sheffield, Uingereza usiku wa jana. Brook amefanikiwa kutetea taji lake la IBF uzito wa Welter
Kelll Brook alimpeleka chini mara nne katika raundi nne Mromania Jo Jo Dan four usiku wa Jumamosi
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-3016373/Kell-Brook-makes-stunning-return-ring-fouth-round-stoppage-Jo-Jo-Dan-just-six-months-surviving-machete-attack.html#ixzz3VkFbLPhV
0 comments:
Post a Comment