• HABARI MPYA

    Saturday, March 28, 2015

    KAPTENI KARAMA NYILAWILA 'ALIVYOMUONEA' DOGO TAMBA JANA

    Bondia Karama Nyilawila kulia akimuadhibu mpinzani wake, Ibrahim Tamba katika pambano la uzito wa Super Middle usiku wa jana ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Karama alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya nane

    Karama kushoto akimpiga 'vitasa' Tamba
    Karama baada ya kumlaza chini Tamba raundi ya nane
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAPTENI KARAMA NYILAWILA 'ALIVYOMUONEA' DOGO TAMBA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top