• HABARI MPYA

    Wednesday, February 25, 2015

    JULIO ALIVYOTUA COASTAL UNION

    Kocha Msaidizi wa Coastal Union, Jamhuri Kihwelu 'Julio' kulia akisisitiza jambo mazoezini jana mara baada ya kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu James Nandwa, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union, Albert Peter, Katibu Mkuu Coastal Union, Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal Union Akida Machai.


    Julio akizungumza na viongozi wa Coastal Union mara baada ya kuwasili mazoezini jana. Picha kwa Hisani ya Coastal Union
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JULIO ALIVYOTUA COASTAL UNION Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top