• HABARI MPYA

    Wednesday, October 01, 2014

    SURA YA MESSI BAADA YA KIPIGO CHA JANA PARIS


    Luis Suarez (kushoto) na Lionel Messi (kulia) wakiingia mazoezini leo na timu yao Barcelona Uwanja wa Camp Nou, baada ya jana kufungwa 3-2 na PSG katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya mjini Paris
    The Barcelona squad gathered just a day after losing to Paris Saint-Germain in the Champions League
    Kikosi cha Barcelona ambacho kilikuwa hakijafungwa chini ya kocha mpya, Luis Enrique kinajiandaa na mchezo wa La Liga mwishoni mwa wiki dhidi ya Rayo Vallecano
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SURA YA MESSI BAADA YA KIPIGO CHA JANA PARIS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top