• HABARI MPYA

    Tuesday, October 21, 2014

    MASIKINI OSCAR PISTORIUS, ASWEKWA JELA MIAKA MITANO KWA KUMUUA BILA KUKUSUDIA MPENZI WAKE

    MWANARIADHA mlemavu, Oscar Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kukutwa na hatia ya kumpiga bastola na kumuua bila kukusudia mpenzi wake, Reeva Steenkamp. 
    Pistorius alimuua mpenzi wake huyo katika siku ya Wapendano ya mwaka 2013 wakati alipopiga bastola kupitia mlango wa bafuni na kumpiga binti Steenkamp. Pia amesimamishwa kwa miaka mitatu.
    Kijana huyo mwenye umri wa miaka 27 wakati wote amekuwa akikana alifikiri anampiga bastola mpezni wake huyo. 
    Oscar Pistorius akiwa ameshikwa na Polisi wakati akitlewa Mahakama Kuu ya Pretoria nchini Afrika Kusini kwenda kutumikia kifungo chake 
    Pistorius, right, pictured in November 2012 with girlfriend Steenkamp, who he shot dead in their home in Pretoria while she was locked in the toilet, saying that he mistook her for a possible intruder
    Pistorius, kulia, akiwa na mpenzi wake Steenkamp Novemba mwaka 2012 kabla ya kifo chake

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/article-2801293/oscar-pistorius-sentenced-five-years-prison-manslaughter-girlfriend-reeva-steenkamp.html#ixzz3GlfeUpKV 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MASIKINI OSCAR PISTORIUS, ASWEKWA JELA MIAKA MITANO KWA KUMUUA BILA KUKUSUDIA MPENZI WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top