• HABARI MPYA

    Sunday, September 21, 2014

    YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA MOROGORO

    Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kushoto akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, David Luhende katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Mtibwa Sugar ilishinda 2-0.
    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kushoto akimtoka beki wa Mtibwa Sugar
    Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakishangilia bao lao la pili jana
    Makocha, Mecky Mexime wa Mtibwa Sugar kulia na Marcio Maximo wa Yanga SC kushito wakisalimiana jana kabla ya mechi 
    Kikosi cha Mtibwa Sugar kilichoifunga Yanga SC jana
    Kikosi cha Yanga SC jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top