• HABARI MPYA

    Sunday, September 21, 2014

    TEVEZ AENDELEZA MAKALI SERIE A, ATUPIA BAO PEKEE JUVE IKIIBWAGA AC MILAN

    KOCHA wa Juventus, Massimiliano Allegri amerejesha wimbi la ushindi San Siro baada ya jana kushinda bao 1-0 dhidi ya AC Milan katika Serie A.
    Shukrani kwake mfungaji wa bao hilo pekee, Carlos Tevez aliyeizima AC Milan na kumpa raja kocha huyo ambaye Juve ilimfukuza miezi nane iliyopita.
    Tevez, aliyefunga mabao yote Jumanne wakati Juve ikishinda 2-0 katika Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo, alifunga bao hilo baada ya ushirikiano mzuri na Paul Pogba kabla ya kumtungua kipa Christian Abbiati katikati ya kipindi cha pili.
    Muargentina huyo akashangilia kwa kunyonya chuchu ya vichanga.

    Mshambuliaji wa Juventus, Carlos Tevez akishangilia bao lake kwa kunyonya chuchu ya kichanga
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TEVEZ AENDELEZA MAKALI SERIE A, ATUPIA BAO PEKEE JUVE IKIIBWAGA AC MILAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top