• HABARI MPYA

    Saturday, September 20, 2014

    CISSE AMZAWADIA MABAO MAWILI GUTIERREZ

    MSHAMBULIAJI wa Newcastle, Papiss Cisse ameyatoa zawadi mabao yake mawili aliyofunga katika safe ya 2-2 na Hull City Ligi Kuu ya England kwa mchezaji mwenzake, Jonas Gutierrez leo.
    Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Senegal leo ametokea benchi kuinusuru timu yake kulala kwa kupara safe hiyo ya 2-2 dhidi ya The Tigers, na akashangilia mabao yote kwa kumfariji Gutierrez ambaye anasumbuliwa na maradhi ya saratani.
    Baada ya kufunga mabao hayo, Cisse alifunua jezi yake na kubaki fulana ndani iliyoandikwa "Always looking forward Jonas" akimfariji kiungo huyo wa Argentina.
    Papiss Cisse ameyatoa zawadi mabao yake mawili dhidi ya Hull leo kwa mchezaji mwenzake Jonas Gutierrez
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CISSE AMZAWADIA MABAO MAWILI GUTIERREZ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top