• HABARI MPYA

    Thursday, August 14, 2014

    YANGA SC WAKIJUA HII, WATAMLAANI KWELI KWELI MUSONYE

    Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye kushoto ambaye aliiondoa klabu ya Yanga SC kwenye michuano ya Kombe la Kagame kwa kutaka kuleta timu ya vijana, akizungumza na Ofisa wa Sekretarieti ya bodi hiyo, Veronica Lusiichi kulia Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda jioni ya leo wakati mechi za michuano hiyo zikiendelea. Azam FC ilipewa nafasi ya Yanga SC.
    Ofisa wa Idara ya kusaka vipaji ya klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Russel Molefe kulia akizungumza na Mwandishi wa Habari, Somoe Ng'itu kutoka Tanzania. Yanga SC ingebahatisha kuuza nyota wake klabu hiyo kama wangewavutia wasaka vipaji hawa.
    Ofisa mwingine wa Mamelodi, Mandla Mazibuko akifuatilia vipaji Uwanja wa Nyamirambo. Kulia ni Mtangazaji kutoka Tanzania, Ibrahim Masoud 'Maestro'

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC WAKIJUA HII, WATAMLAANI KWELI KWELI MUSONYE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top