• HABARI MPYA

    Monday, August 18, 2014

    KAYUNI ANAPOMPA DARASA HANS POPPE KIGALI

    Mkurugenzi wa zamani wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Sunday Kayuni kushoto akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe jana Uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali, Rwanda.
    Kayuni yupo hapa kama mmoja wa Wajumbe wa Kikundi cha tathmini za Kitaalamu (TSG) za mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame wakati Hans Poppe amekuja kushuhudia michuano hiyo iliyofikia hatua ya Robo Fainali.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KAYUNI ANAPOMPA DARASA HANS POPPE KIGALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top