• HABARI MPYA

    Tuesday, August 19, 2014

    JAMAL BAKHRESA ALIPOMUWEKA KITAKO SAID MOURAD LEO KIGALI

    Mmoja wa Wajumbe wa Bodi ya Ukurugenzi wa Azam FC, Jamal Bakhresa (katikati) akizungumza na beki wa timu hiyo, Said Mourad kabla ya mazoezi ya leo asubuhi, Uwanja wa Kiyovu, Niyamirambo mjini Kigali, Rwanda. Kushoto ni Kocha Msaidizi, Iddi Cheche. Azam kesho itamenyana na El Merreikh ya Sudan katika Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame.
    Jamal Bakhresa alidamka asubuhi mazoezini kwa ajili ya kuzungumza Mourad. Chini anaangalia mazoezi na viongozi wa Azam FC

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JAMAL BAKHRESA ALIPOMUWEKA KITAKO SAID MOURAD LEO KIGALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top