• HABARI MPYA

    Monday, August 18, 2014

    BALAA GANI HILI MAN UNITED! MAJERUHI WALUNDIKANA MAPEMAA OLD TRAFFORD, LINGARD NAYE SASA ATEMBELEA MAGONGO


    Majeruhi: Kiungo wa Manchester United, Jesse Lingard akiondoka kwa msaada wa magongo kutoka hospitali ya Bridgewater, ambako alikwenda kutibiwa mguu wake wa kulia baada ya kuumia juzi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Swansea City Uwanja wa Old Trafford. United ilifungwa 2-1 na beki huyo anaungana na majeruhi wengine wa klabu hiyo mwanzoni mwa msimu, Jonny Evans, Rafael, Luke Shaw, Antonio Valencia, Danny Welbeck, Anderson na Michael Carrick.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALAA GANI HILI MAN UNITED! MAJERUHI WALUNDIKANA MAPEMAA OLD TRAFFORD, LINGARD NAYE SASA ATEMBELEA MAGONGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top