• HABARI MPYA

    Sunday, July 20, 2014

    COUTINHO AMFUNIKA JAJA MAUZO YA JEZI YANGA SC

    Wachezaji wa Kibrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho kushoto na Santana Santos 'Jaja' kulia wakiwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo kushuhudia mechi kati ya Tanzania na Msumbiji kuwania tiketi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Morocco. Tayari wauza jezi za timu hiyo wameingiza sokoni jezi ya Coutinho. Picha ya chini ni muuza jezi akiwa na jezi ya Coutinho Uwanja wa Taifa leo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COUTINHO AMFUNIKA JAJA MAUZO YA JEZI YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top