Kelvin Patrick Yondan, beki wa kimataifa wa Tanzania,
ameanza mazoezi rasmi leo katika klabu yake mpya, Yanga SC. Yondan alitinga
maeozini asubuhi na kushangiliwa ile mbaya na mashabiki wa klabu hiyo Uwanja wa
Kaunda, Jangwani, Dar es Salaam. Picha tofauti zikimuonyesha Yondan mazoezini nYanga.
ULIMI HAUNA MFUPA...
|